Jackie Chandiru - Gold Digger | MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE
THROWBACK THURSDAY Huyu hapa mwanadada Jackie Chandiru kutoka (UG) Uganda na wimbo wa Gold Digger.Hii ni moja ya hitsong iliyosummbua/Inayosumbua kwenye playlists za clubs maarufu africa mashariki.Sikiliza Download kisha share maoni yako hapo chini.. Enjoy!