Cyrill - Nimerudi Ft. Soprano (Audio) | MP3 Download

Cyrill - Nimerudi Ft. Soprano

     Moja ya ngoma kali zilizowahi kutamba kwenye Chati za Bongo Flava hasa upande wa Luninga Tanzania ni hii ya Nimerudi (Mmenimiss) kutoka kwa Cyrill akishirikiana na Soprano (Chorus Killer) huku Beat mixing na mastering Maneck, Bano, J Ryder wakihusika kuhakikisha kila kitu kina-sound perfect. Record hii ilikuwa released mwaka 2011 kama Video huku Hassan Kundamayi ambaye ni mmiliki wa HK Vision Pro akiwa Director wa kichupa hiko. 

Cyrill - Nimerudi Ft. Soprano | MP3 Download
       Wimbo huu umekuja baada ya Cyrill kukaa muda mrefu kunako game bila kuachia track yoyote na kupitia misukosuko mingi ikiwemo kupata ajali namishe mishe mingi zaidi ndipo mchizi alipoamua kurudi studio kufanya unyama wa kutisha kwenye mkwaju huu. Take your time sikiliza mashairi yake kisha utaelewa jamaa alichokizingumza na melody ya mdundo ikikuburudisha zaid.

Mi najua mmenimiss Sana , Watu wangu wa kitaa

       Toa Comment yako hapo chini pia kama unatumia simu za android please download application yetu iliyopo google playstore kupata Exclusive features ambazo hazipatikani kwenye website yetu na mahali kwingine popote za ya kwenye application tu. Enjoy!



Cyrill - Nimerudi Ft. Soprano
Previous Post Next Post