J93(JNinetythree) Kuachia Ngoma Mpya "Hey Jay" Hivi Karibuni.
Moja ya rappers wanaokuja kwa kasi kwenye game ya bongo flava Tanzania (J93) kuachia ngoma mpya November 10 Mwaka huu aliyoipa jina la Hey Jay. Mtayarishaji wa ngoma hiyo ni Gano. Endelea kutembelea Bongo Exclusive kuiskiliza Fasta mara tu itapokuwa released.
UPDATES: DOWNLOAD HERE