Jebby - Wanapagawa | MP3 Download ⏪ REWIND

Jebby - Wanapagawa | MP3 Download

Jebby - Wanapagawa | MP3 Download


              Moja ya superstar wakubwa kwenye game ya bongo fleva Tanzania kusumbua kwenye chati za muziki ni huyu hapa Jebby aliyewahi kutamba na wimbo wa swahiba aliomshirikisha afande sele. Leo tuna-throwback audio yake ya Wanapagawa. Kwenye hii ngoma jebby kazungumzia kuhusu ku-party, kushow love pamoja na vitu vingine ka hivyo na hii ni baada ya kutoka ngoma ya swahiba ambayo mchizi alizungumzia kuhusu huzuni ya kuondokewa na mshkaji wake. Iskilize wanapagawa kisha SHARE maoni yako kuhusu hii track ama ninii!?

CHORUS
Hii ni aibu yao njoo tu-dance kwa pamoja, usijistukie sio lazima kulipuka,
Hii ni aibu yao njoo tu-dance kwa pamoja, usijistukie sio lazima kulipuka,
Cheki makaachaa wanapagawa, cheki hata maduu wanabembea, 
Cheki makaachaa wanapagawa, cheki hata maduu wanabembea. 

 
Previous Post Next Post