Mwana FA, A.Y. & Fid Q – Upo Hapo? | MP3 Download
Pale Vichwa vya hip hop vinapokutana na kutengeneza hitsong ni kitu kimoja kizuri sana, sikiliza hii ngoma mpya ya Mwana Fa akishirikiana na Ay na Fid Q kwenye Beat ya Hermy B kutoka B Hits ngoma imepewa jina la Upo Hapo?. Kulikuwa na ukimya sana hapa kati kuhusiana na A.Y na Mwana FA kuendelea kushirikishana kwenye ngoma zao ila huu wimbo wamezima "kiki". Sikiliza Mstari kwa mstari utaelewa jamaa wamezungumzia nini kwenye hii Audio. Kutazama video yake bofya hapa