Rayvanny - Tabia | MP3 Download
Msanii Raymond a.k.a Rayvanny kutoka kundi la WCB Wasafi linalomilikiwa na Diamond Platnumz ameachia audio mpya japo sio Official ambayo ameipa jina la Tabia. Ndani ya ngoma mzee baba Rayvanny amewachana masupastaa wenzake tabia zao. Production ni ya Green Records.. Enjoy!
DOWNLOAD HERE