VIDEO: Victoria Kimani Ft R.City - China Love
Mwanadada Victoria Kimani kutoka Kenya anakuletea video ya wimbo wake mpya alioshirikiana na Rock City unaoitwa China Love. Audio imetayarishwa na Drey Beatz. Tazama kisha share na wana.
DOWNLOAD AUDIO HAPA