MUSIC: CMB Prezzo - Prezzo

CMB Prezzo - Prezzo | MP3 Download

CMB Prezzo - Prezzo

     Wanamuita CMB Prezzo kutoka kenya, jina lake halisi ni Jackson Ngechu Makini. LEO tunathrowback moja ya ngoma zake kali zilizomtambulisha poa kwenye game ya muziki huko nchini kenya na afrika mashariki kwa ujumla ni hii Prezzo. Ndani ya ngoma mzee baba amejipa mashavu yakutosha na kujigamba kwa kuwakilisha kwenye muziki kwa muda mrefu. Audio imetayatishwa na HomeBoyz Production. Listen/Download Enjoy!

DOWNLOAD
Previous Post Next Post