HomeAlhamis Exclusive Mesen Selekta - Nyamu (Audio) | ⏪ REWIND by Bongo Exclusive -November 23, 2017 Mesen Selekta ni mmoja wa producers wakali wanaofanya poa kwenye Game ya Bongo Flava Tanzania. Nyamu ni record yake aliyo produce mwenyewe chini ya studio za Defatality. Sikiliza, Comment maoni yako hapochini kisha Share na wana. DOWNLOAD