Ngwear Ft Dark Master - Nipe Dili (Audio) ⏪ REWIND

Ngwear Ft Dark Master - Nipe Dili (Audio)

Ngwear Ft Dark Master - Nipe Dili (Audio)

        Leo kwenye TBT Tunathrowback moja ya Hitsongs alizotoa Marehemu Ngwair. Nipeni Dili Ndo jina la huu wimbo na Dark Master akiwa kashirikishwa huku Dunga akisimama kama producer wa audio hii. Sikiliza comment maoni yako hapo chini kisha share na wana huku tukimkumbuka mchizi Ngwair. R.I.P.

DOWNLOAD
Previous Post Next Post