Listen Brand new audio from From one of the best Rapper in Kenya, King Kaka na wimbo wake unaoitwa Mistarillionaire. Kwenye hii ngoma utagundua kuwa King kaka yupo tofauti nowdays anaflow bila kick na snare, na moja ya ala iliyotumika kwenye wimbo wake huu ni Trumpet. Listen/Download Below then share your views. Enjoy.
Post a Comment