Dont Miss Flashback Sunday on Mlimani Radio
Flashback Sunday ni kipindi kinachoruka Mlimani Radio kupitia masafa ya 106.5 Mhz Dar Es Salaam kila jumapili saa mbili hadi nne asubuhi na watangazaji “Mohammed Kassimu (Medy Marley) pamoja na Muna Shwai (Muna). Kupitia show hii utapata kusikiliza nyimbo za zamani zilizotamba duniani kote, stories na biographies za celebrities utazipata kupitia The profile ya Flashback sunday.Tenga muda wako sasa kuburudika na kuelimika pia. Kumbuka Burudani ni sehemu ya maisha.
Post a Comment