Listen/ Download brand new audio ya wimbo mpya wa Nandy – Nikumbushe
Chorus
Nikumbushe wema wako nisije laumu,
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu,
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu,
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
Post a Comment