Obsessions - Jangu (Audio) | REWIND

Obsessions ni moja ya kundi lililokuja kwa kasi Uganda na kufanikiwa kupenya kwenye mainstream ya Afrika mashariki kwa ujumla kupitia hit song yao ya Jangu. Jangu ni wimbo uliowatambulisha vyema wanadada hao na kuweza kushika nafasi ya kwanza kwenye chati zote Uganda. Kundi hilo linaloongozwa na wanadada kama SHARON SALMON, JAKI TUSIIME, na RONI MULINDWA lilianza kuwika vyema mwaka 2006 nchini humo na taratibu wimbo wao wa jangu ukaanza kuchezwa kwenye kumbi za sherehe Tanzania kutokana na melody pamoja na tungo kuhamasisha furaha. Nakukaribisha kusikiliza Audio yao kisha toa maoni yako unakumbuka nini. Je wimbo huu una historia gani kwenye maisha yako? This Is REWIND ya Bongo Exclusive



DOWNLOAD

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post