Q Boy Msafi - Kolela Te (Audio)

BONGO Super star Q Boy Msafi anakuletea ngoma mpya " Kolela Te". This time Q Boy amekuja kitofauti, ndani ya hii ngoma jamaa kazungumzia kuhusu kupambana kimaisha hata kama mtu anakumbana na vikwazo kiasi gani. Kolela Te ni Audio flani nzuri hivi yenye sebene ndani yake ikiwa imetayarishwa na Alonem, vile vile yule mpiga guitar maarufu ambaye ametumika kupiga guitar kwenye nyimbo za Alikiba "Patiant Losso" ametumika vyema ndani yake. Sikiliza, Download kisha share na wana. Enjoy!


DOWNLOAD AUDIO

Tazama Video Yake Hapa Video Directed By @omaryclayton & masenga.

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post