DOWNLOAD HERE https://bongoexclusive.net/suma-rider-lady/
ASIKWAMBIE mtu kitu babu, Bongo Flava yetu imetoka mbali mno na mmoja wa artists anayewakilisha mziki huu ni Suma Rider. Leo nakusogezea wimbo wake wa MY LADY. Ni wimbo flani hivi jamaa kamsifia anamtongoza mrembo na kumpa sifa kem kem bila kusahau kuwa endapo akimpa nafasi basi hatomuacha na atamuoa. Rekodi hii imetayarishwa chini ya studio za Soundcrafters na Enrico.
CHORUS
You are my lady njoo kwangu me, njoo u chill nami
You are my lady njoo kwangu me, njoo u dance name
You are my lady njoo kwangu me, njoo u chill nami
You are my lady njoo kwangu me, njoo u dance name.
DOWNLOAD AUDIO
DOWNLOAD HERE https://bongoexclusive.net/suma-rider-lady/
Post a Comment