Vokaly – Siri ya ndani (Audio)

MSANII wa Bongo Flava Tanzania Vokaly ameachia audio ya wimbo wake mpya alioupa jina la "Siri Ya Ndani). Wimbo flani hivi mzuri wa mapenzi. Muziki huo umetayarishwa kwenye studio za Biorn production. Sikiliza Download Kisha Share na wana!.

CHORUS QUOTE:

We ndo siri ya ndani, Wangu wa thamani,

Nimpende mi nani eeh, kama sio wewe,

Siri Siri Siri Siri Siri siri ya ndani, siri ya ndani.



DOWNLOAD

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post