BIDADA Mwasiti, Tanzanian Bongo Flava artist leo ameachia audio ya wimbo wake mpya alioupa jina la "Yeye Allah". Ni aina ya wimbo flani hivi ambao Mwasiti amemsifia mwenyezi Mungu. Imetayarishwa na Mr T Touch. Sikiliza, Download kisha share na wana.

Post a Comment