Country Boy Ft Kachi – Kibegi
RAPPER Country Boy a.k.a Country Wizzy anakusogezea audio ya wimbo wake mpya alioshirikiana na Kachi na kutayarishwa na mtayarishaji wa studio za Switch Records "S2Kizzy" - Kibegi. Kama kawaida ya country Boy kuja na ladha tofauti za muziki na Kibegi ni moja ya trap kali inayozungumzia uvaaji wa begi dogo kama sehemu ya fashion/swag katika mizunguko yetu ya kila siku. Kupitia hii ngoma Country anajaribu kuitrendisha fashion ya kibegi kwa boys and girls. S2kizzy killed the beat kama kawaida yake, mdundo una ala flani hivi za kiASIA, saxophone zikikikishwa na your most favourite kick 808 na snares. Nakukaribisha usikilize/Download kisha share na wana
Chorus (Country Boy)
Naroll town na kibegi, nikiwa club na kibegi, nikiwa town na kibegi
Hata ikiwa show na kibegi (ok), kibegi (wuu), kibegi (ok),
kibegi (wuu), kibegi (ok), kibegi (wuu), kibegi (ok),kibegi (wuu), kibegi (ok)
Post a Comment