M-Rap Ft Future Jnl – Nairobi Love (Audio)

TANZANIAN Rapper M rap Lion ameachia audio ya wimbo wake mpya "Nairobi Love" akishirikiana na Future Jnl (Mchizi aliyetamba na ngoma ya Visiwani). Audio imetayarishwa na producer Charlee Best Nexus. Sikiliza/Download kisha share na wana.



DOWNLOAD AUDIO

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post