20 Percent - Binti Kimanzi (Ft Bushoke) | MP3 Download
THROWBACK THURSDAY Alhamis Exclusive Ya leo ni ngoma ya 20 Percent a.k.a asilimia ishirini au 20 % akishirikiana na Bushoke ngoma inaitwa Binti Kimanzi.Sikiliza Download kisha share na wana!
[ads id="ads1"]
Chorus: Bushoke
Oooh Mtoto Tulia (wewe),Sisi tumemchagua
Umetaka utamuoa,Hukutaka utamuoa
20 Percent:
Sawa Nitamuoa yeye,ila sintadumu nae
Wazazi muelewe ,mie ninaye nimpendae
[ads id="ads2"]
DOWNLOAD 20 PERCENT FEAT BUSHOKE - BINTI KIMANZI