B Town Clan Ft Suma Lee, Noorah - Taifa La Bongo | MP3 Download
THROWBACK THURSDAY Sikiliza/download audio ya wimbo wa B Town Clan wakishirikiana na Suma Lee, Noorah ngoma inaitwa Taifa La Bongo.Na hii ndo exclusive bongo fleva ya enzi hizooo.... enjoy!
Chorus:Suma Lee
Tanzania wote taifa la bongo,kwenye hard time tuna make bingo,
Kuna watu kibao wenye usongo,lakini wengi wao ni waongo,
Tanzania wote taifa la bongo,kwenye hard time tuna make bingo,
Kuna watu kibao wenye usongo,lakini wengi wao ni waongo.
DOWNLOAD B TOWN CLAN - TAIFA LA BONGO