Marco Chali Foundation - Waka Mbaya (Audio)
'WAKA MBAYA'' ni wimbo kutoka Marco Chali Foundation ukiwashirikisha Bandago, Marco Chali, Daxo na SlimSal iliyotayarishwa na Beef Cha at Mj Records. Ngoma hii iliachiwa Jumatano, 25 Septemba, 2013 nakukaribisha kuREWIND moja ya hit songs kali kutoka kwa Marco Chali Foundation.
DOWNLOAD AUDIO