THROWBACK THURSDAY Jina lake halisi ni Lawrence Malima Ila kimuziki tunamtambua kama Marlaw na huu ni moja ya wimbo uliokua hit song enzi zileee,ngoma inaitwa Sorry Sana,Audio imetayarishwa na Tudd Thomas.Sikiliza/Download kisha share na wana.
[ads id="ads1"] Pia unaweza kuDownload audio yake ya Pii Pii (Missing My Baby) HAPA.
Chorus
Sorry sana,Sorry sana
Sorry sana,We ni mpenzi wangu
Sorry sana,Sorry sana
Sorry sana,we ni mpenzi wangu [ads id="ads2"]