Mwanadafada Ruby anaufungua mwaka kwa ngoma yake mpya aliyoipa jina la Alele. Imetayarishwa na Bob Manecky kutoka studio za AM Records na kuandikwa na Kusah. Sikiliza/Download kisha share na wana. Kama bado haujaDownload application yetu ya Bongo Exclusive kwenye Google Playstore basi DOWNLOAD HAPA