Mask Girl - Sina Hali (Audio) MP3 Download

Mask Girl - Sina Hali (Audio) MP3 Download
Mask Girl - Sina Hali (Audio) MP3 Download
    Ebwanaee huku ndipo Bongo Flava yetu ilikotoka, na leo nakuletea moja ya audio kali kutoka kwa mwanadada wa kidosi - Mask Girl na nngoma yake aliyoipa jina la Sina Hali. Audio ilitoka kipicha cha 2006s kitambo flani hivi au vipi eeh? yeah kama umefanikiwa kucheki kichupa chake basi wazee wa kazi wakuitwa Benchmark Video Productions ndo waliohusika kwenye hii. sikumbuki vizuri audio ni nani aliyetengeneza (Unaweza ukanikumbusha kwenye comments hapo chini) ila ni bonge moja la joint. Ngoma ina mahadhi ya ki-Asia flani hivi, melody kali, mashahiri mazuri yanavutia kusikiliza zaidi. Binafsi naipa 4.5. Je wewe unaipa marks ngapi hii ngoma? Sikiliza Kisha dondosha maoni yako hapo chini.

QUOTABLE LYRICS:
Jeh ananizingua akili yangu, kila mara imejaa picha yake,
Jeh ananiumiza moyo wangu, unadunda kusikia jina lake,
Jeh ananizingua akili yangu, kila mara imejaa picha yake,
Jeh ananiumiza moyo wangu, unadunda kusikia jina lake.

DOWNLOAD AUDIO: MASK GIRL - SINA HALI
Previous Post Next Post