Rama K Ft. Mr Blue - Tulia Nikusimulie (Audio)

[ads id="ads1"]
Rama K Ft. Mr Blue - Tulia Nikusimulie (Audio) mp3 download
Rama K Ft. Mr Blue - Tulia Nikusimulie (Audio) mp3 download
Ni mchizi flani hivi aliyekuja kwa kasi ya ajabu kwenye tasnia ya burudani nchini kupitia muziki wa Bongo Flava kisha akapotea mazima. Jamaa anaitwa Rama K, Tulia nikusimulie  ni moja ya ngoma kali yenye hadithi nzuri ya wapendanao ambao wamesalitiana. Mr Blue ameshirikishwa kwenye hii ngoma, Audio ilitoka 2005s. Heshima kwa mtayarishaji (Baucha Records)  na muongozaji wa chupa ya hii ngoma. Je unakumbuka nini unapoiskia hii ngoma? Dondosha maoni yako hapo chini kisha share na wana.

Naomba radhi kwa audio quality.

[ads id="ads2"]



Previous Post Next Post