Feruz feat Scout Jentaz | Jirushe Original Version
Akiwa mshirika wa karibu wa Daz Nundaz, Scout Jentaz alipata bahati ya kuwepo katika original version ya Jirushe na kufanya vizuri kadri ya walivyoweza!!
Jirushe ya Feruz na Scout Jentaz baadaye haikuweza kufurukuta mbele ya remix ambayo alikuja kusimama Jay moe huku vikorombwezo vya Intro pia outro aliyosimama Solo Thang Ulamaa ilifanya Jirushe Remix kuwa wimbo bora kabisa kwa wakati huo na kuifunika original version.
DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali
https://www.youtubepp.com/watch?v=ueUk1TEvvoc
Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv
Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA
This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download
Post a Comment