Kwanza Unit – Why Afrika
Kwanza Unit (KU Crew) lilikuwa kundi la mwanzo kabisa la muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1993 kwa muunganiko wa makundi kadhaa na wasanii wa rap. Awali walikuwa wanarap kwa Kiingereza, lakini baadaye wakawa wanatumia Kiswahili vilevile.
Baadhi ya wanachama wa KU Crew walikuwa ni pamoja na;
Chief Rhymson(Ramadhan A. Mponjika)
KBC aka K-Singo (Kiba Cha Singo)
Adili “Nigga One” Kumbuka – (amekufa 1993)
D-Rob(Robert Mwingira) – amekufa 2001
Eazy-B (Bernard Luanda)
Papa Sav (Makanga Lugoe)
Abbas Maunda
Balbo
Baraka
Fresh-G
Y-Thang
Gaddy Groove
DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali
https://www.youtubepp.com/watch?v=jWu58BZgYIQ
Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv
Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA
This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download
Post a Comment