Manduli Mobb (Temba & Daz P) Feat. Juma Nature | Maskini Jeuri
Masikini Jeuri ni moja ya ngoma kali ya kundi la Manduli Mobb ambapo walimshrikisha Juma Nature. Hapo kabla kundi hilo liliundwa na Daz Baba, Mh Temba, Suki na Daz P/Das P alimaarufu Bwana Mkubwa. Baadae Daz Baba na Suki walijitoa wakabaki MH Temba na Daz P a.k.a Bwana Mkubwa.
DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali.
https://www.youtubepp.com/watch?v=peMTWsbKYVk
Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv
Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA
This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download
Post a Comment