Wateule | Hip Hop & Ragga
Kundi la WATEULE ni muunganiko wa Wasanii walioshinda katika Tamasha lililoandaliwa na Cloudz Fm katika ukumbi wa Mambo Club Jijini Dar es Salaam Miaka ya 2000..
Washindi hao ambao ni Mchizi Moxie, Jay Moe, Jaffarai, Kevin, Solo Thang, Lady Luu na Mack Maliki Simba ‘Mack2b’ walipata ofa ya kutengeneza wimbo wa pamoja ndani ya Studio ya Bongo Records chini ya Mtayarishaji P Funk a.k.a Majani ambapo waliamua kujiita WATEULE na kurekodi ngoma yao ya kwanza iliyokwenda kwa jina HIP HOP NA RAGGA
Baadhi ya Wasanii waliokuwa wanaunda kundi la WATEULE bado wanafanya Muziki huku wengine wakiwa wametangulia mbele za Haki…
R.I.P Mack2b
R.I.P Lady Luu.
DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali.
https://www.youtubepp.com/watch?v=9s3U91Uvvlk
Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv
Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA
This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download
Post a Comment