Watoto wa Magorofani - Shangwe |Ncha Kalih, Dj Nelly, Adam Mchomvu, Dj Fetty, Dj Steve B, Gardner G| (Audio)

featured imageWatoto wa Magorofani - Shangwe |Ncha Kalih, Dj Nelly, Adam Mchomvu, Dj Fetty, Dj Steve B, Gardner G| (Audio)

Watoto wa Magorofani – Shangwe |Ncha Kalih, Dj Nelly, Adam Mchomvu, Dj Fetty, Dj Steve B, Gardner G|


Watoto wa magorofani..Clouds Fm

SHANGWE ni wimbo wa utangulizi uliokuwa unatambulisha album ya SHANGWE 2008 yenye CD mbili ambapo kila moja ilikuwa na jumla ya nyimbo 15, ndani ya album hii kulikuwa na Biography ya wasanii mbalimbali walioshiriki kuikamilisha albamu hiyo,wasanii hao ni kama vile AY, Lady JD, Mwana FA, Joe Makini, Afande Sele, Q. Chilla na Chidi Benz.

SHANGWE CD 1.
1. Uko juu – Lady Jay Dee ft, Chidi Benz
2. Taxi Bubu – Matonya ft, Fid Q.
3. Nipe Deal – Mangwea ft, Dark Master
4. Ngoma Itambae – Chidi Benz
5. Linawachoma – Bushoke
6. Price Waweru – Ali Kiba ft, Mwasiti
7. Ningejua – PNC
8. Wakibana Sana – Ferooz
9. Tatu Bila (RMX) – Wanaume Halisi
10. Mama Mia – Q. Chief ft, Mangwea
11. Njoo – Prof. Jay ft, Kleptomaniax
12. Ni Aje ni Vipi – Joe Makini ft, Nick
13. Nibebe – H.Baba ft, Pasha
14. Piece & Love – Ins. Haron
15. Nasema Nao – AY ft, Chameleone

SHANGWE CD 2.
1. Tunaonana Wabaya – Q.Chief
2. Nihurumie – Ray C ft, Chidi Benz
3. Bado nipo nipo – Mwana FA
4. Mbele yako, Nyuma yangu – Afande Sele
5. Mwaah – Nizzo
6. Bila wewe – Kassim
7. Mapinduzi – Prof. Jay ft, Ngoni
8. Mida Mibovu – Mangwea, Jay Moe, P-Funk
9. Shangwe – Watoto wa Maghorofani
10. Watasimuliwa – Dully Sykes
11. Wakinuna – Mr. Nice
12. Kukaa Nyumbani – Juma Nature
13. Bounce – Jay Moe
14. Kila Kipindi – Ferooz
15. Usiende kwa Mganga – Kassim

DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali.

https://www.youtubepp.com/watch?v=JDObQ-ySgMw

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post