Gangwe Mobb – Starter Feat. Genz Original
Starter inapatikana katika Album ya Simulizi la Ufasaha ambapo ilikuwa ndio Albamu yao ya kwanza…
Inspector Haroun na Luteni Kalama ndio waliunda kundi hilo
Baadhi ya Nyimbo zilizokuwepo katika Albamu yao hiyo ni
1.Ngangali
2.Simulizi la ufasaha ft Seki
3.Vidonge ft Nasma Khamis
4.Mtoto wa geti kali
5.Tatizo Noti ft. Mr Paul
6.Starter ft. Genz Original
7.Ajira ft Drez Chief wa BDP Kamili
8.Mtoto wa geti kali part 2 ft. Ali Choki
9.Bundasaliga ft HB and Ommy G
https://www.youtubepp.com/watch?v=R2vckyAd0bs
Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv
Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA
This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download
Post a Comment