Connect with us

Hi, what are you looking for?

Music

BJB – Ndani Ya Club Feat. Dully Sykes (Audio)

BJB – Ndani Ya Club Feat. Dully Sykes (Audio)
[ad_1]

BJB – Ndani Ya Club Feat. Dully Sykes (Audio) | ⏪ REWIND
https://bongoexclusive.net/bjb-ndani-ya-club%e2%8f%aa/ Bongo Exclusive BJB, Bongo Flava, Dully Sykes, Tanzania

bjb - ndani ya club

ASIKWAMBIE Mtu kitu babu Bongo Flava yetu usiione ina-shine tu kuna walioipigania kwa kila namna kuifanya iwepo na indelee kuwepo. Leo Kwenye REWIND (Hip Hop Edition) ya Bongo Exclusive nakusogezea mmoja ya artists aliyevuma kwa kasi kwa aina ya muziki aliokuwa akifanya pamoja na the way alivyokuwa akiflow kwenye ngoma zake, BJB. Ebanaee much respect to bjb kwa mchango wake kwenye muziki wetu wa bongo flava. Ndani ya club pa moja na hip hop ni baadhi ya tracks zilizomtambulisha vyema jamaa kipindi cha 2003’s, Ukisikiliza chorus kuna sauti ya mnyama mkali Dully Sykes. Kwenye hii ngoma G Records ndiyo studio aliyorekodi jamaa na hapo hapo hakutaka kusubiri sana mchizi akawatafuta Wananchi Footage Productions then wakashoot kichupa kikali cha enzi. Nakukaribisha tujukumbushe pamoja hizi ngoma za BJB kisha nitafurahi ukiniambia Zimekukumbusha nini? Karibu.

 

DOWNLOAD BJB – NDANI YA CLUB

 

Advertisement. Scroll to continue reading.

DOWNLOAD BJB – HIP HOP



[ad_2]

Written By

Jonstar Official is a record producer, Television producer, film editor and blogger.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You May Also Like

Music

Author voice Wonder – Nimekosa (Audio) MP3 Download [ad_1] [ad_2]

Music

Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda [ad_1] Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda | Audio Advertisement. Scroll to continue reading....

Music

Download: Abby Skills Ft. Mr Blue [ad_1]  ALHAMIS EXCLUSIVE   Huyu hapa Ab Skillz Featuring Mr Blue – Mimi Na Wewe (Audio) Produced ndani...

Music

Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download [ad_1] Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download  ALHAMIS EXCLUSIVE  Listen/Stream/Download Picco – Kikongwe (Audio)  “Naupenda bibi...