Connect with us

Hi, what are you looking for?

Music

Mask Girl – Sina Hali (Audio) MP3 Download

maskgirls

Mask Girl – Sina Hali (Audio) MP3 Download
[ad_1]

Mask Girl - Sina Hali (Audio) MP3 Download
Mask Girl – Sina Hali (Audio) MP3 Download

    Ebwanaee huku ndipo Bongo Flava yetu ilikotoka, na leo nakuletea moja ya audio kali kutoka kwa mwanadada wa kidosi – Mask Girl na nngoma yake aliyoipa jina la Sina Hali. Audio ilitoka kipicha cha 2006s kitambo flani hivi au vipi eeh? yeah kama umefanikiwa kucheki kichupa chake basi wazee wa kazi wakuitwa Benchmark Footage Productions ndo waliohusika kwenye hii. sikumbuki vizuri audio ni nani aliyetengeneza (Unaweza ukanikumbusha kwenye comments hapo chini) ila ni bonge moja la joint. Ngoma ina mahadhi ya ki-Asia flani hivi, melody kali, mashahiri mazuri yanavutia kusikiliza zaidi. Binafsi naipa 4.5. Je wewe unaipa marks ngapi hii ngoma? Sikiliza Kisha dondosha maoni yako hapo chini.

QUOTABLE LYRICS:
Jeh ananizingua akili yangu, kila mara imejaa picha yake,
Jeh ananiumiza moyo wangu, unadunda kusikia jina lake,
Jeh ananizingua akili yangu, kila mara imejaa picha yake,
Jeh ananiumiza moyo wangu, unadunda kusikia jina lake.

DOWNLOAD AUDIO: MASK GIRL – SINA HALI



[ad_2]

Written By

Jonstar Official is a record producer, Television producer, film editor and blogger.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You May Also Like

Music

Author voice Wonder – Nimekosa (Audio) MP3 Download [ad_1] [ad_2]

Music

Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda [ad_1] Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda | Audio Advertisement. Scroll to continue reading....

Music

Download: Abby Skills Ft. Mr Blue [ad_1]  ALHAMIS EXCLUSIVE   Huyu hapa Ab Skillz Featuring Mr Blue – Mimi Na Wewe (Audio) Produced ndani...

Music

Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download [ad_1] Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download  ALHAMIS EXCLUSIVE  Listen/Stream/Download Picco – Kikongwe (Audio)  “Naupenda bibi...