Sanaipei Tande – Najuta | MP3 Download
[ad_1]
Sanaipei Tande – Najuta | MP3 Download
Advertisement. Scroll to continue reading.
ALHAMIS EXCLUSIVE #TBT From kenya: Listen/Download Audio from Sanaipei Tande – Najuta. Produced By Clemo (Beat Ya Clemo) Sanaipei ni mwanadada anayefanya poa kwenye game ya muziki nchini kenya na hii ni moja ngoma zilizobamba kwenye chati za afrika mashariki kwa ujumla. Sanaipei ameshawahi kushirikishwa kwenye wimbo wa msanii mwenzake kutoka Kenya Juacali ” Kwaheri” huku akiitendea haki chorus yake.Ukisikiliza audio hii kama wewe ni shabiki wake na ulikua ukifuatilia nyimbo alizofanya utagundua kuwa ni matokeo baada ya kuondoka/kumuaga juacali kwenye ile ngoma ya kwaheri so hii ni kama muendelezo wa kilichofuata. Nakukaribisha tuEnjoy wote kwa pamoja ila usisahau ku-Share.
Advertisement. Scroll to continue reading.
[ad_2]
Advertisement. Scroll to continue reading.
Notice: Bongo Exclusive shares music and entertainment content for promotional and informational purposes only. We do not claim ownership of any copyrighted material. All rights and credits belong to their respective owners. Copyright holders may contact us for removal requests.
In this article:REWIND
Written By
Jonstar Official
Jonstar Official is a record producer, Television producer, film editor and blogger.
Click to comment







