Connect with us

Hi, what are you looking for?

Music

Steven Kanumba – Nitayainua Macho Yangu

Kanumba 612

Steven Kanumba – Nitayainua Macho Yangu
[ad_1]

Steven Kanumba - Nitayainua Macho Yangu (Audio)

 ALHAMIS EXCLUSIVE  Leo kwenye TBT yetu tujikumbushie ngoma aliyoitoa aliyekuwa msanii wa filamu Bongo (Tanzania) Steven Kanumba,wimbo unaitwa Nitayainua macho yangu ambao ameproduce mwenyewe kila kitu.Steven Kanumba alifariki mwaka 2012 akiwa na umri wa miaka 28.Mungu ailaze roho ya marehemu Steven kanumba mahali pema peponi Amen!

CHORUS:
 Nitayainua macho yangu nitazame milima (aaa),
 msaada wangu baba utatoka wapi,
msaada wangu katika bwana mbingu na injili zake,
asiuache mguu wako usogezwe, 
Atasinzia atalala yeye mlinzi wangu,
atanilinda mabaya yote na nafsi yangu

 



[ad_2]

Written By

Jonstar Official is a record producer, Television producer, film editor and blogger.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You May Also Like

Music

Author voice Wonder – Nimekosa (Audio) MP3 Download [ad_1] [ad_2]

Music

Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda [ad_1] Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda | Audio Advertisement. Scroll to continue reading....

Music

Download: Abby Skills Ft. Mr Blue [ad_1]  ALHAMIS EXCLUSIVE   Huyu hapa Ab Skillz Featuring Mr Blue – Mimi Na Wewe (Audio) Produced ndani...

Music

Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download [ad_1] Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download  ALHAMIS EXCLUSIVE  Listen/Stream/Download Picco – Kikongwe (Audio)  “Naupenda bibi...