TANZANIAN Singer ambaye kuwa nominated Kilimanjaro music awards na kutumbuiza kwenye events kubwa duniani kama DOADOA (Uganda), ZIFF (Zanzibar) na ZW & W (Zanzibar) Grace Matata, leo nakusogezea moja ya nyimbo kali alizowahi kuziachia mwaka 2010 na kufanya vyema afrika mashariki “Wimbo”. Kupitia Wimbo bidada Grace ameweza kuzungumzia mahusiano baina ya watu wawili ambapo mmoja wapo anampenda mwenzake na kumfananisha na wimbo ambao anaupenda kuuimba na kuusikiliza kila siku. Audio iko na mahadhi ya RnB/Soul yenye melody nzuri na mistari yenye kugusa. This is REWIND a.k.a Alhamis Exclusive ya Bongo Exclusive, Nakukaribisha kusikiliza/Download kisha share na wana. Enjoy!
CHORUS
Wewe ni, wimbo wangu, wewe ni
Wewe ni, Wimbo Wangu, wewe ni
Sitachoka kukuimba we tena na tena
Sitachoka kukuimba we
DOWNLOAD Grace Matata – Wimbo CDQ.mp3
Notice: Bongo Exclusive shares music and entertainment content for promotional and informational purposes only. We do not claim ownership of any copyrighted material. All rights and credits belong to their respective owners. Copyright holders may contact us for removal requests.
Jonstar Official - I am a passionate creative professional with experience across music, technology, and digital media.
