Tazama video ya wimbo wa msanii wa Bongo Flava Tanzania Bablee – Kizizi. Moja ya ngoma kali zilizosumbua Tanzania na Africa Mashariki kwa ujumla. Audio imetayarishwa na KGT kutoka G Records na video imeongozwa na Wananchi Video Productions. Unaweza kusikiliza audio yake hapa, na remix yake hapa.



























