Connect with us

Hi, what are you looking for?

Music

Balozi Dola – Kwenye Chati

BaloziDola

Balozi Dola – Kwenye Chati
[ad_1]

Balozi Dola - Kwenye Chati (Wengi Walikwepo sasa hivi wapo wapi)

 ALHAMIS EXCLUSIVE  Leo kwenye TBT ya Bongo Fleva ni ni wimbo wa Balozi Dola SoulKwenye Chati.Ngoma hii ni moja ya hit songs zilizo bamba mbayaa Tanzania na Africa  Mashariki kutoka kwa mwana hip hop huyu ambaye kwa sasa anaishi Ughaibuni.Track  iko produced chini ya studio producer Mika Mwamba.
Soma mistari(Lyrics) zake hapa za kiitikio,  Sikiliza/Download Kisha Share na wana..!

Chorus
Wengi walikwepo sasa hivi wapo wapi,wako wapi
Balozi bado nipo ninapanda kwenye chati,kwenye chati
Nashika ile ile,ile moja namba natamba 
Nina uhakika kila mwaka,wa kubaki kwenye chati (Yeeah) x2

DOWNLOAD BALOZI DOLA SOUL – KWENYE CHATI | MP3 AUDIO



[ad_2]

Written By

Jonstar Official is a record producer, Television producer, film editor and blogger.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You May Also Like

Music

Author voice Wonder – Nimekosa (Audio) MP3 Download [ad_1] [ad_2]

Music

Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda [ad_1] Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda | Audio Advertisement. Scroll to continue reading....

Music

Download: Abby Skills Ft. Mr Blue [ad_1]  ALHAMIS EXCLUSIVE   Huyu hapa Ab Skillz Featuring Mr Blue – Mimi Na Wewe (Audio) Produced ndani...

Music

Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download [ad_1] Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download  ALHAMIS EXCLUSIVE  Listen/Stream/Download Picco – Kikongwe (Audio)  “Naupenda bibi...