Connect with us

Hi, what are you looking for?

Music

Cyrill – Nimerudi Ft. Soprano (Audio)

Untitled 1

Cyrill – Nimerudi Ft. Soprano (Audio)
[ad_1]

Cyrill - Nimerudi Ft. Soprano

     Moja ya ngoma kali zilizowahi kutamba kwenye Chati za Bongo Flava hasa upande wa Luninga Tanzania ni hii ya Nimerudi (Mmenimiss) kutoka kwa Cyrill akishirikiana na Soprano (Chorus Killer) huku Beat mixing na mastering Maneck, Bano, J Ryder wakihusika kuhakikisha kila kitu kina-sound perfect. Record hii ilikuwa launched mwaka 2011 kama Visual huku Hassan Kundamayi ambaye ni mmiliki wa HK Vision Pro akiwa Director wa kichupa hiko. 

Cyrill - Nimerudi Ft. Soprano | MP3 Download
       Wimbo huu umekuja baada ya Cyrill kukaa muda mrefu kunako game bila kuachia track yoyote na kupitia misukosuko mingi ikiwemo kupata ajali namishe mishe mingi zaidi ndipo mchizi alipoamua kurudi studio kufanya unyama wa kutisha kwenye mkwaju huu. Take your time sikiliza mashairi yake kisha utaelewa jamaa alichokizingumza na melody ya mdundo ikikuburudisha zaid.

Mi najua mmenimiss Sana , Watu wangu wa kitaa



       Toa Comment yako hapo chini pia kama unatumia simu za android please download application yetu iliyopo google playstore kupata Exclusive features ambazo hazipatikani kwenye website yetu na mahali kwingine popote za ya kwenye application tu. Enjoy!



Cyrill - Nimerudi Ft. Soprano



[ad_2]

Written By

Jonstar Official is a record producer, Television producer, film editor and blogger.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You May Also Like

Music

Author voice Wonder – Nimekosa (Audio) MP3 Download [ad_1] [ad_2]

Music

Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda [ad_1] Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran – Nakupenda | Audio Advertisement. Scroll to continue reading....

Music

Download: Abby Skills Ft. Mr Blue [ad_1]  ALHAMIS EXCLUSIVE   Huyu hapa Ab Skillz Featuring Mr Blue – Mimi Na Wewe (Audio) Produced ndani...

Music

Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download [ad_1] Picco – Kikongwe (Audio) | MP3 Download  ALHAMIS EXCLUSIVE  Listen/Stream/Download Picco – Kikongwe (Audio)  “Naupenda bibi...