![]() |
| Marlaw – Pii Pii (Missing My Baby) Audio | MP3 Download |
Sikiliza/Download audio ya wimbo wa Marlaw – Pii Pii (Missing My Baby) Audio | MP3 Download
QUOTABLE LYRICS
[ads id=”ads1″]
Nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
Nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
Pii pii; move out the way,
Nimechoka kupoteza time,
Nina siku nyingi kwenda home,
I am missing ma baby.
Pii pii; hallo baby,
Natamani niwe nyumbani,
Nimekwama hapa njiani,
Kuna jam baby.[ads id=”ads2″]



























